Sunday, 6 November 2016

Utanipenda - Lyrics Diamond Platnumz

Tanta lala laaa La la la la laaaa
Mmmmmh….


Ooh Ghafla visenti sina nimerudi Tandalee Nimeshindwa kulipa BIMA nimeuza madalee Radio nyimbo wamezima Tv ndio hataree Umeneja umebaki jina hanitaki hata Talee Oooh wale shabiki zangu walonisifu kwa maneno matamuu Leo maadui zangu ni mitusi tu kwa instagramuu Kimwanaa si dada anguu eti nae hanifahamu Hata harmonize nikimpigia ananifokea kama Salaam Na magazeti ya nyumbani kwa kukuza habari si unajuagaa. Utasikia Tafalani eti Mondi kwa Zari amemwagwa Navyo nilivyo mnyonge tabia ya kuwajibu sinagaa Kama naiona michambo ya madem wa zamani nilowapitiaga Ooh nayosema yana maanaa Sababu hakuna anaejua kesho Anaepanga ni Rabanaa ila ameificha ni confidential Ukisali omba sanaa mumeo nisije kuwa kichekesho Maana rafiki wa jana aaah ndioo adui mkubwa wa keshoo La la la la la laaaaa au je utanipenda gaa? La la la la laaa Au nawe utanimwagaa? La la la la laaaa Ati utanipenda gaa ooh Ooooh Ooooooooh. Bado naiwaza sana Zile tunzo mashauzi airport Je itapofika tamaa Utadiriki hata japo kunipost Pindi show zimekwamaa Na nikipata sijahis ni mikosi Oooh jahazi limezama Mora ninusulu baba Kama namuona mwanangu Roho yangu Tiffa Dangote Anakwenda na mama angu Kwa Makufuli wanafukuzwa watoke Usilie sandra wangu Mboni yangu Jikaze usichoke Huenda kesho zamu yangu Nitavuma tena mambo yanyooke Eeeey na magazeti ya nyumbani Kwa kukuza habari si unajuagaa Utasikia tafalani eti mondi kwa zari amemwaga yoyoyooo Navyo nilivyo mnyonge Tabia ya kuwajibu sinagaa Kama naiona michambo ya madem wangu wa zamani yaan He he heeeeee La la la la laaaaaa (eeeh) (Ola lala la laaaalaa) La la la la laaa (Ooh ola la la laaaa) La la la la la alaaaa Eeeh Ola la la lilaa ooh I say. Kama namuona mwanangu Roho yangu Tiffa dangote Ana kwenda na mama angu Kwa mkubwa Fella anafukuzwa watoke Usilie sandra wangu Mboni yangu Jikaze usichoke Huenda kesho zamu yangu Nitavuma tena Mambo yanyooke(he he heee) Eiiii Ola lala lilaa Oooh bby (Tudy Thomaas) Oooooh Nayosema yana maana Sababu hakuna anaejua kesho Anaepanga ni Rabana Ila ameificha ni confidential Ukisali omba sana Mumeo nisije kuwa kichekesho Maana rafiki wa jana Ndio adui mkubwa wa kesho WASAFIIII. The post Diamond Platnumz | Utanipenda Lyricsappeared first on Hassbaby Mapacha.

No comments:

Post a Comment