Sura yake mtaratibu, mwenye macho ya aibu
Kumsahau najaribu.... ila namkumbuka saana....
Umbo lake mahbibu, kwenye maladhi alonitibuu
Siri yangu ukaaribuu, bado namkumbuka saaana
Buy On Amazon:- https://www.amazon.com/Ntampata-Wapi-Diamond/dp/B00QZELM2K
Stream on Spotify:- https://open.spotify.com/album/0jXKS4JOJ5UhbDvG704H7F
Buy On iTunes:- https://geo.itunes.apple.com/album/ntampata-wapi-single/id951361024
(CHORUS)
Alonifanya silali, jua Kali, nitafte tukalee
Lakini hata hakujali darling akatekwa na wale ×2
Ntapata wapi kama yule, nilompendaga sana
Ntampata wapi kama yule nae anipende saana ×2
Aiii nyota, nyota ndo tatizo languu
Aiii nyota mpaka nalia pekeangu
Aiii nyotaaa nyota ndo shida yanguuu uuh
Nyota wamenizidi wezangu
Alidanganywa na waleee (walee)
Wenye pesa, nyumba, gari (gaari)
Mi kapuku hakunijalee (jaali)
Akanikimbia ×2
(CHORUS)
Bado ananijia ndotoni, ila nikiamka simwoni (baado)
Bado ananijia nikilala, haki ya mungu sio masialaa ×2

No comments:
Post a Comment