Buy On Amazon:- https://www.amazon.com/Nasema-Nawe-Remix-Diamond/dp/B0153IX8HK
Stream on Spotify:- https://open.spotify.com/album/1NpcazUOmNFJeSZAr0jxU1
Buy On iTunes:- https://geo.itunes.apple.com/album/nasema-nawe-remix-single/id1038026897
Verse 1
Hallooooo…weweweaah… aah kutwa viguru njiani
Majirani wote wamekuchokaa
Mara chumba cha fulani mtu gani we kwako usio kaa
Washinda vibarazani vya wenzako kuropoka
Ukome mwana fulani ona uso ulivyo kukoboka
Sio mwisho vibaoni hadi kwenye vigodoro
Usio na haya usoni kote wazua migogoro
Hivi wee haujioni kuwa una kasoro
Usio mchana jioni si wa juzi si tomorrow
Sio mwisho vibaooni kwenye vigodoro
Usio na haya usoni kote wazua migogoro
Hivi wee haujioni kuwa una kasoro
Usio mchana jioni si wa juzi si aah
Chorus
Nasema nawe (nasema nawe) nasema nawe (nasema nawe)
Nasema nawe (nasema nawe) usio haya nasema nawe
Umezoea (nasema na wewe) chezea chezea (nasema nawe)
Umezidi (nasema nawe) zizi, zidi (nimechoka nasema nawe)
Khadija Kopa: Huna haya ka kibakuli cha vumba
Khadija Kopa: Popote unajitokeza babu eee haa we kichoji tu
Khadija Kopa: Unaingia kwenye kundi la ninga utachanika mabawa
Verse 2
Hmmm ah zingifuli zingifuli ungezinga mahala ukakaa
Usio mila desturi usio jua tongozwa ukakataa
Usio hiyana fedhuri uongo umekujaa
Kujifanya mashuhuri kumbe chaka umechaka aga
Mwenzako mi ni turufu si garasa
Mwenye nyota ya umaarufu si kupapasa
Tena jokali la nguvu pakarata
Lile hodari maguvu si kwasa kwasa
Ooh mwenzako mi ni turufu si garasa
Mwenye nyota ya umaarufu si hozakoza aah
Chorus
Nasema nawe (ona wewe) nasema nawe (nawe)
Nasema nawe usio haya nasema nawe (na wewe)
Nasema na wewe nasema nawe (na wewe)
Nasema nawe nimechoka nasema nawe
Umezoea (nasema na we) chezea chezea (nasema nawe)
Umezidi (nasema nawe) zidi (usio haya nasema nawe)
Nasema na wewe nasema nawe ooh nasema nawe
Nimechoka nasema nawe
Khadija Kopa: Wewee umejifunza ngumi leo wataka upigane na Tyson? Haah
Verse 4
Ale kata kata kakata katika si kata oh teteme teteme (kata)
Wenye kusema waseme (kata) ale kata kata kakata katika si
Kata kiuno chako mwenyewe (kata) mola amekupa wewe (kata)
Tena vya kili kilali (kata) nipe vya bara na pwani (kata)
Vile vya nje na ndani (kata) tumkomeshe fulani (kata)

Vya nje na ndani (kata) akome fulani (kata) hmm
Khadija Kopa: Hallooo haa utavunjia ma-apple mwaka huu
Khadija Kopa: Maana nazi zimepanda ma bei aaah hehee
Chorus
Toa basi ninasema nawe (ona wewe) nasema nawe (nawe)
Nasema nawe usio haya nasema nawe (wewe)
Nasema na wewe nasema nawe (nawe)
Nasema nawe nimechoka nasema nawe
Umezoea (nasema nawe) chezea chezea (nasema nawe)
Ooh nasema nawe usio haya nasema na wewe (nasema nawe)
Nasema na wewe (nasema nawe) nasema na wewe (nasema nawe)
Nasema nawe nimechoka nasema nawe oooh
Wewe weaaah kata kata…..

No comments:
Post a Comment