Turn up the volume. Hit the dance floor with Darassa new track "Hasara Roho" #Africanmusic #Musicinafrica
Download it from iTunes:- https://goo.gl/gPdR4O
Stream on Spotify:- https://goo.gl/ex7AHJ
Ah kama unataka kiki kwa pikipikiMara black mara white vipiKama unatikisa kibiritiI play no game I’m sorry rafikiUkija kama upepo utapepeaUkijifanya una mapepo tunakemeaKama unataka mchezo kawashe runingaSiku hizi hakuna mtu anataka ujingaUjanja wa nyani mjini utaingia kingiMeli inaelea feri inazama shilingiHaraka na harakati zako za pimbiUnataka kucheza wewe na ushike filimbi
Binadamu angekua neja
Maneno yangeshutiki kama risasi
Vitu vingine vikienda
Havirudi reverse kama samaki
Hasara roho inachopenda tunasemaga pesa makaratasi
Hakuna wasiwasi tukaze mwendo ili tuende na wakati eh
Tuweke tuzo za wachukiaji
Bongo kuna watu wana vipaji
Utarusha madongo kwenye maji
Bora upige michongo utanipa midadi
Mara chenga mara no networki
Zigizaga vitu havieleweki
Life siku hizi imezidi kuwa complicate
Ukichanganya na mambo ya internet (jeraha)
Mwisho utatukana picha ukutani (jeraha)
Si atutafuti mchawi nani
Sasa chagua utajifungia chumbani
Au unatoka goma lipo uwanjani
Kushoto kulia juu chini kamatia
Mzigo wa abiria dereva dakia
Kichwa cha panzi alewe sifa kama pia
Situko serious we unatuactia eh
Binadamu angekua neja
Maneno yangeshutiki kama risasi
Vitu vingine vikienda
Havirudi reverse kama samaki
Hasara roho inachopenda tunasemaga pesa makaratasi
Hakuna wasiwasi tukaze mwendo ili tuende na wakati
(eh na wakati eh)
Utasema nakudisi
Ila mi mwenyewe unanimix
Mengine ni madalansi na sura ya machungwa utajua vipi
Kuji switch switch
Nusu viatu mtu fifty fifty
Hujafai hutaki chai moja haikai mbili haifai we wapi una fit eh (eh)