Monday, 29 May 2017

Diamond Platnumz Mix : Best Music Videos 2017 (Bongo Flava) | African Music Videos

Diamond Platnumz Mix : Best Music Videos 2017 (Bongo Flava) | African Music Videos

http://bit.ly/2qVodMF Nana - 00:00 Number One Remix - 03:51 Salome - 07:15 Ntampata Wapi - 10:46 Nasema Nawe - 14:32 KIDOGO - 19:41 Mdogo Mdogo - 23:56 Utanipenda - 28:19 Make Me Sing - 37:00

Thursday, 11 May 2017

Turn up the volume. Hit the dance floor with Diamond Platnumz new track "Moyo Wangu"

Turn up the volume. Hit the dance floor with Diamond Platnumz new track "Moyo Wangu" #Africanmusic #Musicinafrica
Download it from iTunes:- https://goo.gl/4zFLh5
Stream on Spotify:- https://goo.gl/GxYE7z



Moyo wangu, moyo wangu mama eeeeee moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa Moyo wangu, moyo wangu mama eeeeee
moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa Upole wangu simanzi eeehee, kwa kukupenda maradhi eeehee lakini kupendwaga mi naye bahati huaga sina jichoni kwangu kibanzi eeehee, tena nampenda kamanzi licha ya kumthamini kama shilingi tatizo hata raha sina ufinyu wa mboni zangu unatazama mengi aliyonipa mateso tena hata kupenda sina raha, ona nakonda kwa mawazo masikini penzi langu Gina nilishakata na kauli roho inatoka kesho kutwa nzima mara eeeee mara iiiii hata najuta kupendaaa Moyo wangu, moyo wangu mama eeeyeee moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa Moyo wangu, moyo wangu mama eeeyeee moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa mmmmhh tena, kutwa kucha mara ooohhh huwezi kosa maneno, ili mradi tu tara tantalila, mmmh sina raha wala sina tena mipango, kutwa nzima na mawazo Gina mmhhh aaaaaahh ooohh sina raha oo mama tamu ya wali ni nazi eeeeee, raha ya supu maandazi eeeeeeee raha yangu mi kupendwa tu naye lakini nyota sinaaa na napata na radhi eeeeee, nawakufuru wazazi eeeeeee kwa kung'ang'ana mi kutaka kuwa naye lakini bahati sinaaa masikini roho ingalikuwa ni nguo ningempa avae japo akipita wamsifie ila lakini ni kikwazo masikini penzi langu Gina nilishakata na kauli roho inatoka kesho kutwa nzima mara eeeee mara iiiii hata najuta kupendaaaa Moyo wangu, moyo wangu mama eeeeee moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa Moyo wangu, moyo wangu mama eeeeee moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa Moyo wangu, moyo wangu mama eeeeee moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa Moyo wangu, moyo wangu mama eeeeee moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa

Wednesday, 10 May 2017

Buy Kidogo Track on iTunes


Monday, 8 May 2017

Turn up the volume. Hit the dance floor with Darassa new track "Hasara Roho"

Turn up the volume. Hit the dance floor with Darassa new track "Hasara Roho" #Africanmusic #Musicinafrica

Download it from iTunes:- https://goo.gl/gPdR4O

Stream on Spotify:- https://goo.gl/ex7AHJ

Ah kama unataka kiki kwa pikipiki
Mara black mara white vipi
Kama unatikisa kibiriti
I play no game I’m sorry rafiki
Ukija kama upepo utapepea
Ukijifanya una mapepo tunakemea
Kama unataka mchezo kawashe runinga
Siku hizi hakuna mtu anataka ujinga
Ujanja wa nyani mjini utaingia kingi
Meli inaelea feri inazama shilingi
Haraka na harakati zako za pimbi
Unataka kucheza wewe na ushike filimbi
Binadamu angekua neja
Maneno yangeshutiki kama risasi
Vitu vingine vikienda
Havirudi reverse kama samaki
Hasara roho inachopenda tunasemaga pesa makaratasi
Hakuna wasiwasi tukaze mwendo ili tuende na wakati eh
Tuweke tuzo za wachukiaji
Bongo kuna watu wana vipaji
Utarusha madongo kwenye maji
Bora upige michongo utanipa midadi
Mara chenga mara no networki
Zigizaga vitu havieleweki
Life siku hizi imezidi kuwa complicate
Ukichanganya na mambo ya internet (jeraha)
Mwisho utatukana picha ukutani (jeraha)
Si atutafuti mchawi nani
Sasa chagua utajifungia chumbani
Au unatoka goma lipo uwanjani
Kushoto kulia juu chini kamatia
Mzigo wa abiria dereva dakia
Kichwa cha panzi alewe sifa kama pia
Situko serious we unatuactia eh
Binadamu angekua neja
Maneno yangeshutiki kama risasi
Vitu vingine vikienda
Havirudi reverse kama samaki
Hasara roho inachopenda tunasemaga pesa makaratasi
Hakuna wasiwasi tukaze mwendo ili tuende na wakati
(eh na wakati eh)
Utasema nakudisi
Ila mi mwenyewe unanimix
Mengine ni madalansi na sura ya machungwa utajua vipi
Kuji switch switch
Nusu viatu mtu fifty fifty
Hujafai hutaki chai moja haikai mbili haifai we wapi una fit eh (eh)

Friday, 5 May 2017

Darassa's new track HASARA ROHO is coming soon, till then enjoy and down his biggest hit Muziki.

Darassa's new track HASARA ROHO is coming soon, till then enjoy and down his biggest hit Muziki.

To download the song click here -- https://goo.gl/ZgYJEz
To watch the video click here -- https://goo.gl/xi6JCX


The Lyrics for Muziki by Darassa feat. Ben Po


Rudi utotoni usipotembea utabebwa mgongoni 255 champion boy niite Mbwana Samatta Wanaota mapembe waongezee mkia na ukinibeep tu nakupigia
An let me make one thing clear blaa blaa sitaki kusikia. So simba so chui so mamba ngozi yangu inatosha kujigamba na sina maneno ya kwenye kanga ni kazi juu ya kazi yaan bambaa tu bambaa Kuzaa unaweza kuzaa kizaazaa sinzia fegi uchome kibanda Kalale uote ndoto zako za kitanda si bado tupo macho mida ya wanga Funga mkanda kaza na kamba ama ufate nyayo uchane msamba Pasua miamba pasua anga tunasemaga chambua kama karanga Maisha na muziki acha maneno weka muziki..., Ukiwa sap ukiwa hack ukiwa juu ukiwa chini piga muziki (Yeeeeah) tupotee kwenye map tunapeleka game to the top top I that I told you that we don't stop we don't stop..."walker"
Safari na muziki acha maneno weka muziki (Yeeeah) kila unachopenda na ukitaka kucheza cheza muziki Bambataaa shika kamataa Pumba chakacha napokaa mchiz nshadataa nshadataaah Unataka kukimbia na hauna brekii what do you expect??? Bongo Congo kwa thabo mbeki cheza lokasa ya mbongo huwezi ku make. Watch urself usije ukajiconfuse mzuka wa kuruka reggae kwenye blues. Huna mchuzi no excuse, Maisha yetu ya kila siku kama vile movie Vitu vingine havitakag ujuaj utajikuta unatandikia watu jamvi Kusubiria embe chini ya mnazi, Kumuelewesha chizi utajipa kazi. Funga mkanda kaza na kamba ama ufate nyayo uchane msamba. Pasua miamba pasua anga tunasemaga chambua kama karanga. (Uwiiiiiii) Rpt chorus... Wanatamani

Monday, 1 May 2017

Check Latest Compilation "Darassa Top Chartbusters" by Darassa on iTunes

Check Latest Compilation "Darassa Top Chartbusters" by Darassa on iTunes ♪ ♫ ♩ ♬ ♭ ♮ ♯ 
https://goo.gl/N9z93y




Enjoy & Share with your friends